Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?

Transcrição

Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
Go to http://www.consiliariuslocalis.com
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
GlobalVoices katika
Global Voices in Swahili
Swahili
Dunia Inaongea, Je unasikiliza?
Dunia Inaongea, Je unasikiliza?
Kuhusu
Wafasiri
Sauti za Dunia (Global Voices) ni mtandao wa kimataifa wa wanablogu ambao wanatafsiri, wanaandika na
kutetea blogu na uanahabari wa kiraia duniani kote
Tafuta
Nchi
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 1 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Mada
Waandishi
Deogratias Simba77 jumbe
j nambiza tungaraza236 jumbe
Sehemu za Dunia
Americas
Central Asia & Caucasus
East Asia
Eastern & Central Europe
Middle East & North Africa
Oceania
South Asia
Sub-Saharan Africa
Western Europe
Nchi
Afghanistan
Algeria
Angola
Antigua and Barbuda
Argentina
Australia
Austria
Azerbaijan
Bahamas
Bahrain
Bangladesh
Barbados
Bhutan
Bolivia
Bosnia Herzegovina
Botswana
Brazil
Brunei
Bulgaria
Burundi
Cambodia
Cameroon
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 2 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Canada
Cape Verde
Cayman Islands
Chad
Chile
China
Colombia
Costa Rica
Cote d'Ivoire
Croatia
Cuba
Cyprus
D.R. of Congo
Denmark
Dominican Republic
Ecuador
Egypt
Eritrea
Ethiopia
Finland
France
French Guiana
Gabon
Georgia
Germany
Ghana
Greece
Grenada
Guadeloupe
Guatemala
Guinea
Guyana
Haiti
Honduras
Hong Kong (China)
Hungary
Iceland
India
Indonesia
Iran
Iraq
Israel
Italy
Jamaica
Japan
Jordan
Kenya
Kosovo
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 3 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Kyrgyzstan
Laos
Lebanon
Lesotho
Liberia
Macedonia
Madagascar
Malawi
Malaysia
Maldives
Mali
Martinique
Mauritania
Mexico
Mongolia
Montenegro
Montserrat
Morocco
Mozambique
Myanmar (Burma)
Namibia
Nepal
Niger
Nigeria
North Korea
Oman
Pakistan
Palestine
Paraguay
Peru
Philippines
Poland
Portugal
Puerto Rico (U.S.)
Qatar
Republic of Congo
Reunion
Romania
Russia
Rwanda
Saint Lucia
Saudi Arabia
Senegal
Serbia
Singapore
Slovakia
Slovenia
Somalia
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 4 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
South Africa
South Korea
Spain
Sri Lanka
Sudan
Sweden
Syria
Taiwan (ROC)
Tanzania
Thailand
Togo
Trinidad & Tobago
Tunisia
Turkey
U.S.A.
Uganda
Ukraine
United Arab Emirates
United Kingdom
Venezuela
Vietnam
Western Sahara
Zambia
Zimbabwe
Kutoka kwenye orodha ya nchi katika kamusi Elezo
Lugha
Arabic
Bahasa
Bangla
Chinese
English
Farsi
Filipino
French
French Creoles
Georgian
German
Hebrew
Hindi
Hungarian
Japanese
Korean
Macedonian
Malagasy
Polish
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 5 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Portuguese
Russian
Slovak
Spanish
Swahili
Thai
Ukrainian
Agriculture
Arts & Culture
Breaking News
Business
Children
Cyber-Activism
Development
Diaspora
Disaster
Economics
Education
Elections
Energy
Entertainment
Environment
Ethnicity
Film
Finance
Food
Freedom of Speech
Gender
Governance
Health
History
Human Rights
Humanitarian
Humor
Ideas
Indigenous
Industry
International Relations
Internet & Telecoms
LGBT
Labor
Language
Law
Literature
Media
Music
Photography
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 6 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Politics
Protest
Racism
Refugees
Relief & Rescue
Religion
Science
Software & Tools
Sport
Technology
Travel
War & Conflict
Youth
Mada Maalum
About GVO
Announcements
Blogger News
Blogger Profiles
Conversations for a Better World
Olympics
Projects
RuNet Echo
Technology for Transparency Network
Makala zenye
Photos
Video
Tafuta
Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
Video
Tafsiri imetumwa 24 Novemba 2009 · Angalia ujumbe mama [en]
imeandikwa naPaula Góes
Imetafsiriwa na j nambiza tungaraza
Nchi Brazil
Mada Human Rights, Racism
Lugha Portuguese
Makala hii inapatikana pia katika:
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 7 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Français · Brésil : Les banques utilisent-elles des détecteurs de métaux ou de couleur de peau ?
English · Brazil: Do banks have metal or melanin detector doors?
Usiku wa mkesha wa Siku ya Kujivunia Weusi nchini Brazil – inayosherehekewa tarehe 20 Novemba,
wakati nchi inapofufua vita vinavyoendelea dhidi ya ubaguzi - Circo Voador Audiovisual Collective ilifanya
jaribio. Waliwarekodi wanachama wao wawili katika filamu, ambao wana rika moja na waliovalia mavazi
yanayofanana, wakijaribu kuingia benki katika benki moja katika nyakati tofauti, huku wakiwa wamebeba
mikoba iliyojaa vyuma – funguo, sarafu, simu za mkononi. Mmoja wao alichukua sekunde chache kuingia
bila ya matatizo yoyote; mwingine hakuweza kuingia, alizuiwa na mlango unaozunguka, ambao ni kitu cha
kawaida katika mabenki mengi nchini Brazil. Kijana wa kwanza alikuwa mzungu, wa pili, mtu mweuzi.
Angalia matokeo:
Kwa mujibu wa waliotengeneza filamu, jaribio hili limeonyesha kuwa milango yenye vifaa vinavyobaini
vyuma huwa inawashwa na walinda usalama kwenye mabenki. Kwa maneno mengine, taratibu za ulinzi
ambazo benki inazitumia hivi sasa zinategemea maamuzi ya watumishi, maamuzi ambayo mara nyingi
hugubikwa na dhana zilizokuwepo kabla ya tukio, imani potofu na ubaguzi dhidi ya watu wa aina fulani.
Kwenye blogu yao, Circo Voador [Sarakasi inayopaa, pt] anawakaribisha wasomaji kujiunga, kwa kutuma
video zao za watu weusi tofauti tofauti wengi inavyowezekana. Wnafafanua jaribio hilo:
Na primeira cena aparecem várias pessoas ao redor da bolsa. Todas elas fizeram o teste com a
mesma bolsa, algumas foram barradas outras não. Em nenhum momento alguém alterou o
conteúdo dos pertences na bolsa. A escolha da imagem do MC Shackal não se deveu ao fato
dele ser negro e sim, por termos nos utilizado de câmeras escondidas e o momento em que o
registramos, não sofreu interferências externas, como carros ou pessoas paradas na frente da
câmera.
Katika sehemu ya kwanza ya filamu kuna watu wengi waliokuwepo karibu na mkoba. Wote walifanya
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 8 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
jaribio kwa kuubeba mkoba ule ule mmoja, wengine walizuiwa na wengine hawakuzuiwa. Hakuna
aliyebadilisha vitu vilivyokuwemo ndani ya mkoba. Tumeamua kuijumusha sehemu ya filamu tuliyoipiga na
MC Shackal siyo kwa kuwa yeye ni mtu mweusi lakini ni kwa sababu tulitumia kamera iliyofichwa na
wakati tuliponpiga picha, hapakuwa na vitu vilivyoingilia, kama vile magari au watu waliosimama mbele ya
kamera.
Watu wengi walitoa maoni kwenye kisanduku cha maoni cha blogu ya Circo Voador. Baadhi ya wasomaji
walishawahi kukutwa na mikasa inayofanana na huu kama Dona Biologia [pt], ambaye ni mwalimu:
Coloquei chaves, celular, bolsinha de moedas no local indicado e a porta apitava e travava. Por
fim, o rapaz chamou um pseudo gerente que atravessou a porta e, dentro do caixa eletrônico da
agência, me fez abrir a bolsa de provas e quando não viu nada que justificasse, teve a audácia
de dizer que fora a minha bolsinha de lápis. Me arrependo até hoje de não ter processado o
banco pelo constrangimento.
Niliweka funguo, simu ya mkononi, pochi ya sarafu katika sehemu iliyoelekezwa na bado mlango uliwasha
king’ora na kujifunga. Hatimaye, yule kijana alimuita meneja uchwara ambaye alipita mlangoni na, katika
mashine ya kutolea pesa, akanitaka nifungue mkoba wangu [wa mwanafunzi] wa makaratasi ya insha na
aliposhindwa kukuta chochote kilichoweza kuhalalisha [tabia yake] alikuwa na ujasiri wa kuniambia kuwa
sababu ilikuwa ni kasha langu la penseli. Bado ninasikitika kwa kutoishitaki benki kwa kunizuia.
Christiano J. Jabur [pt], ambaye aliwahi kuzuiwa katika mlango wenye vifaa vya kung’amua vyuma mjini
Sao Paulo kwa sababu ya kubeba kamera ya kidijitali, anadai kuwa ubaguzi dhidi ya watu kwenye milango
ile ile ya kuzunguka hutokea kwenye mabenki bila kujali rangi ya ngozi:
Tive que colocá-la numa caixinha para conseguir entrar no banco. Mas uma senhora de idade,
também branca, que tentou entrar na agência da Nossa Caixa, na mesma cidade, foi barrada e
não conseguiu entrar de jeito nenhum, mesmo chamando a polícia. O gerente do banco ininuou
que ela poderia ser criminosa, pois existem muitas pessoas hoje, acima dos 50 e 60 anos de
idade, cometendo crimes (o que não deixa de ser verdade). Não vou dizer que não exista
preconceito contra negros e pardos nos bancos, por parte de vigilantes e atendentes. Mas dizer
que são só os negros que são barrados nas portas giratórias é uma bela de uma mentira.
Ilinibidi niiweke [kamera] katika kasha ili niweze kuingia ndani ya benki. Lakini mwanamke mzee, mzungu,
alijaribu kuingia katika tawi la Nossa Caixa kwenye mji ule ule alizuiwa na hakuweza kuingia kabisa, hata
baada ya kuwapigia simu polisi. Benki iliashiria kuwa angeweza kuwa jambazi, kwa sababu kuna watu
wengi wenye zaidi ya miaka 50 mpaka 60 ambao hufanya makosa siku hizi (jambo ambalo ni kweli). Siwezi
kusema kuwa walinzi wa usalama na wahudumu kwenye mabenki hawana ubaguzi dhidi ya watu weusi na
wale wenye rangi ya kahawia. Lakini kusema kwamba watu ni weusi pekee ambao huzuiliwa katika
milango inayozunguka ni uongo.
Katika upande mwingine, mlinzi wa usalama aitwaye Leandro [pt] anafafanua katika kisanduku hicho hicho
cha maoni jinsi mfumo unavyofanya kazi, na anakosoa namna ambayo video ile ilivyotafsiriwa na baadhi
(ya watu):
Sou Vigilante (segurança), e posso afirmar, este sistema é falho, mas este vídeo esta sendo
usado para sujar a imagem de profissionais que estão apenas cumprindo ordens… os ‘controles’
podem sim travar e destravar as portas giratórias, mas isso não é valido para todas as agencias,
são sistemas diferenciados pra cada agencia ou cada porta giratória… e não temos controle
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 9 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
sobre o “Nível de travamento“ de cada porta (isso é de responsabilidade do gerente), que
costuma variar de 4 a 7 níveis, por isso vc pode entrar em uma agencia e ficar travado e em
outra passar sem problema algum…
Sei que intenção de vc's não é esta, li o que estão propondo e apoio totalmente, mas não esta
sendo divulgado desta forma, outros sites e meios de comunicação estão colocando informações
“picadas”, pela metade… eu mesmo recebi um Email como Titulo: “Vigilantes racistas?”
Mimi ni mlinzi wa usalama na ninaweza kukwambia kuwa mfumo huu una makosa, lakini video hii
inatumika kuichafua sifa ya wafanyakazi ambao wanafuata amri tu… kuna ‘vidhibiti’ ambavyo kwa hakika
huweza kufunga au kufungua milango inayozunguka, lakini hii si kweli katika matawi yote, mfumo ni
tofauti kwa kila tawi au kila mlango unaozunguka… hatuna uwezo wa kudhibiti ‘ngazi ya ufungaji’ wa kila
mlango ambayo huwa kati ya ngazi ya 4 mpaka 7 (huu ni wajibu wa meneja), na hii ndiyo sababu
inayokufanya ukamatwe kwenye mlango wa tawi moja lakini ukaweza kuingia ndani ya tawi jingine bila ya
matatizo…
Ninajua kuwa haikuwa nia yako, nimesoma kile unachokusudia kukisema na nikiunga mkono kabisa, lakini
(kile ulichokusudia) hakisambazwi hivyo, tovuti nyingine na vyombo vya habari vimechapisha vipande vya
taarifa nusu… mimi binafsi nimepokea barua pepe yenye kichwa cha habari: “Walinzi wa usalama
wabaguzi?”
Kadhalika video hiyo imeenea haraka kwenye ulimwengu wa blogu. Rafael Cesar [pt] anasema kwamba
milango kujifunga kwa watu weupe au weusi si kiini cha suala hili:
A questão é que sabemos que aquele detector de metais é muito mais uma desculpa para os
seguranças fazerem o controle da forma como julgam apropriada do que qualquer outra coisa. O
que trava, mesmo, é aquele controlezinho que eles carregam. Comigo é rotineiro, sem qualquer
exagero, passar por aquela porra sem metal nenhum na mochila (já deixei até estojo naquela
caixinha ao lado por causa de lapiseira) e me travarem. Ou seja: o que volta e meia detectam
em mim é um meliante em potencial, porque por várias vezes não havia qualquer metal a ser
detectado. Se eu não tinha metal, por que ‘a porta’ travou? E, se eu tenho metal, por que logo
em seguida ‘a porta’ destrava?E nessa de o crivo da segurança passar pelos olhos dos
seguranças, é claro que o indivíduo negro leva a pior. Assim como leva a pior com a polícia,
com emprego etc.
Kiini cha suala ni kuwa tunafahamu kwamba vifaa vya kung’amua vyuma, zaidi ya yote, ni kisingizio cha
walinzi wa usalama walio kwenye zamu kutumia uamuzi wao katika njia wanayoona sawa. Milango
hufungwa, kwa kutumia kifaa kidogo wanachokibeba cha kuwashia na kuzima. Kwangu ni tabia, bila ya
kutaka kujikuza, kupita katika upumbavu ule bila ya chuma chochote kwenye mkoba wangu wa mgongoni
(nimewahi hata kuacha kasha pembeni kwa sababu ya kichongeo cha penseli cha chuma) hata hivyo
nilizuiwa. Kwa maneno mengine: kitu wanachokiona kwangu kila wakati ni kuwa nina uwezo wa kuwa
mwizi, kwani mara kadhaa sikuwa na chuma ambacho kingeweza kubainiwa. Ikiwa sikubeba chuma
chochote, kwa nini mlango ulijifunga? Na kama nimebeba chuma, kwa nini basi mara tu milango
hujifungua? Kwa kuwa hatua za usalama huchujwa kwa kutumia macho ya walinzi wa usalama, bila ya
shaka mtu mweusi ana wakati mgumu zaidi. Kwa namna sawa sawa na mbavyo ana wakati mgumu zaidi na
polisi, kwenye kuomba kazi n.k…
Helio Ventura [pt] anachukua fursa kuchapisha maandishi yaliyochapwa kwanza mwezi Machi 2007 na
kuuliza kama milango hubaini vyuma au melanin (chembe hai zinazosababisha kuwa na ngozi nyeusi)
baada ya mteja mweusi kuuwawa ndani ya benki jijini Rio de Janeiro:
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 10 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Rio de Janeiro, sexta-feira, 22 de dezembro de 2006, 13 horas e 20 minutos. O microempresário negro Jonas Eduardo Santos de Souza, 34 anos, estava na fila da agência do banco
Itaú da Av. Rio Branco, da qual era cliente há 10 anos, para operações de rotina. Mas ele foi
vítima do racismo que persiste em existir em nosso país, apesar de muitas vozes da elite e da
intelectualidade negarem. Ele foi morto com um tiro no peito por Natalício de Souza Marins, 29
anos, vigilante da agência.
Ao tentar entrar na agência bancária, Jonas foi parado pela conhecida e constrangedora porta
giratória. Ele foi abordado por Natalício e obrigado a pôr na bandeja todos os objetos que
possuía. Como a porta continuava travando, Jonas foi obrigado a tirar inclusive o cinto. O
gerente foi acionado por Natalício, e só autorizou o acesso do jovem micro-empresário à
agência após exigir que Jonas provasse ser cliente da agência, mostrando um cartão do banco.
Após o constrangimento, já dentro da agência, Jonas e Natalício continuaram a discutir, até que
o vigilante, demonstrando total despreparo para o exercício da função, sacou seu revólver e
matou Jonas, que não teve chance de defesa. […]
Assim como também poderíamos estar do outro lado, o de Natalício, também negro, um pai de
família que teve suprimidas as oportunidades de acessar uma profissão que pudesse dar
melhores condições à sua filha de 5 anos, que se viu obrigado a pleitear apenas funções que
exigem menor qualificação, como a de vigilante. Ele também foi atingido pelo racismo
estrutural que assola este país. Isso em nada muda o fato dele ter agido equivocadamente: é um
homicida e deve receber as sanções legalmente previstas. E ser também negro não atenua o
crime. Mas nos faz perguntar: que sistema é este que coloca dois semelhantes em lados opostos,
fazendo com que um tire a vida do outro? Até quando fatos como este acontecerão?
Percebemos o quão perverso é este “racismo à brasileira”, uma política de extermínio
silenciosa, disfarçada de risco social e fatalidade.
Rio de Janeiro, Ijumaa, Disemba 22, 2006, saa 7:20 mchana. Mjasiriamali mweusi Jonas Eduardo Santos de
Souza, umri mika 34, alikuwa amepanga foleni ili kupata huduma ya kawaida katika tawi la benki ya Itau
katika Rio Branco, ambako alikuwa mteja kwa muda wa miaka 10. Lakini alikuwa muathirika wa ubaguzi
ambao unaendelea kuwepo katika nchi yetu, pamoja na kukataa kuwa ubaguzi haupo, kukataa ambako
kunatoka kwa makundi mengi ya wataalamu na wasomi. Aliuwawa kwa kupigwa risasi kifuani na mlinzi wa
usalama kwenye tawi hilo, Natalício Marins de Souza, 29.
Wakati akijaribu kuingia kwenye tawi hilo, Jonas alizuiwa na milango inayozunguka inayojulikana vyema
kwa kuwatia watu aibu. Alijongelewa na Natalicio na kulazimishwa kuweka vitu vyake vyote kwenye sinia.
Mlango ulikuwa bado umefungwa, Jonas alilazimishwa hata kuvua mkanda wake. Natalicio akamuita
meneja, ambaye alimruhusu huyu mjasiriamali kijana baada ya kumtaka Jonas kuthibitisha kuwa alikuwa ni
mteja wa wa tawi lile, kwa kuonyesha kadi yake. Baada ya aibu ile, ndani ya benki, Jonas na mlinzi wa
usalama waliendelea kubishana mpaka mlinzi yule wa usalama, alipodhihirisha kuwa hakuwa na uwezo wa
kuifanya kazi yake, alitoa bunduki na na kumuua Jonas, ambaye hakuwa na uwezo wa kujikinga. […]
Tunaweza kuwa upande wa Natalicio, ambaye pia ni mweusi, baba wa familia ambaye hakuwa na fursa ya
kupata taaluma ambayo ingemwezesha kumpa mazingira bora binti yake wa miaka 5, hivyo kulazimika
kuomba kazi ambazo zinahitaji vigezo vya chini zaidi, kama vile kazi ya ulinzi wa usalama. Na yeye naye
alikumbwa na ubaguzi wa kimfumo unaoisibu nchi hii. Hii haibadili ukweli kuwa alifanya makosa; ni
muuaji na anapaswa kupokea adhabu zinazotolewa na sheria. Kadhalika kuwa mweusi hakupunguzi kosa.
Lakini inatufanya tujiulize: huu ni mfumo wa namna gain unaowaweka watu wawili walio sawa kwenye
pande tofauti, na kumsababisha mmoja kuchukua maisha ya mwingine? Mpaka lini matukio kama haya
yataendelea kutokea? Tunaona gani ‘ubaguzi’ ulivyo mbaya katika Brazil, sera ya kimya kimya inayomaliza
watu, iliyojificha kama hatari ya kijamii na ajali isiyozulika.
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 11 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Andréia Freitas [pt], ambaye aliwahi kufanikiwa kuingia ndani ya benki bila bugudha na kisu cha jikoni
ambacho alikuwa amekinunua kabla, anasema kuwa hitimisho la kusikitisha ni kuwa watu huona sura ya nje
tu ya watu wengine:
Por que será que cresceram os assaltos a banco realizados por homens de terno e gravata? Por
que será que hoje existe o roubo de carros em estacionamentos e os assaltantes chegam no local
pra assaltar de carro importado? Golpes de estelionatários em hotéis de luxo, em lojas de grife,
em restaurantes cinco estrelas…
A resposta é óbvia: O mundo é movido por “aparências”! Sim… se você é considerada uma
pessoa “bem apessoada” a vida fica mais fácil pra você em todos os aspectos. Agora… se você
não está tão “bem vestido”, ou seu cabelo “acordou” num dia ruim, ou seu sapato tá meio
surrado, pode apostar que a vida não será bolinho pra você.
O ser humano vê as aparências! Se as portas dos bancos fossem realmente controladas por uma
máquina, por um dispositivo eletrônico de segurança, os dois caras do vídeo do YouTube
tinham sido barrados! E nada mais justo do que barrar OS DOIS, que portavam objetos de
metal.
Ni kwa nini ujambazi katika mabenki unafanywa na watu waliovalia suti na tai? Kwa nini siku hizi magari
huibwa kwenye sehemu za maegesho na majambazi huwasili katika magari yaliyoagizwa kutoka nje ya
nchi? Utapeli kwenye mahoteli ya kifahari, maduka ya wabunifu, migahawa ya nyota tano…
Jibu liko wazi: dunia inaendeshwa na “wajihi au jinsi unavyoonekana”! Naam… kama unaonekana ni kijana
mwenye sura nzuri, maisha ni rahisi kwako kwa kila hali. Sasa… kama wewe si “mtanashati”, au kama uan
siku ya nywele mbaya, au kama viatu vyako vimechakaa kidogo, unaweza kutabiri kuwa maisha
hayatukuwa mepesi kwako.
Binaadamu huona jinsi watu wanavyoonekana! Kama milango ya benki ingekuwa inaendeshwa na mashine
kati maana halisi, mashine ya umeme, vijana wawili walioonyeshwa kwenye video ya YouTube
wangezuiwa! Na hakuna jingine lililo sawa zaidi ya kuwazuia WOTE WAWILI, kwani wote walikuwa
wamebeba vifaa vya chuma.
Kuna kampeni ya kwenye mtandao [pt] iliyoanzishwa na jaribio linalozitaka benki za Brazil kuacha
kutumia milango inayozunguka na kuwekeza kwenye mfumo wa mionzi (X-ray) au vifaa vya usalama
ambavyo vinaonyesha vitu alivyonavyo mteja, kampeni hiyo imesainiwa na zaidi ya watu 2,000 mpaka sasa.
Wito wa kampeni hiyo ni kuwa kila mtu anapaswa kuhudumiwa kwa heshima na kila benki.
na Paula Góes · Imetafsiriwa na j nambiza tungaraza · Tafsiri imetumwa 24 Novemba 2009
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 12 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Kwa ajili ya kuchapisha
Tuma
Twitter
Facebook
Habari zaidi kuhusu Brazil
Brazil: Uchaguzi Safi kwa Mtindo wa “Jifanyie Mwenyewe”
Brazil: Ukatili Dhidi ya Wanawake Kila Siku
Brazili: Ulimwengu wa blogu waunga mkono sheria ya kuzuia ufisadi
zaidi »
Anza mazungumzo
Mwandishi, tafadhali jiandikishe »
Jina (inatakiwa)
Anwani ya Barua Pepe (haitachapwa) (inatakiwa)
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 13 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Tovuti
Jiandikishe kwenye safu hii ya maoni
Taratibu
Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi
binafsi hayataruhusiwa.
Wasilisha Maoni
Habari zaidi kuhusu Americas
Haiti: Video Inayookoa Maisha
Colombia: maoni ya Awali Kuhusu Kifo cha Kiongozi wa FARC ‘Mono Jojoy'
Karibeani: Kwa Heri, Arrow
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 14 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Brazil: Uchaguzi Safi kwa Mtindo wa “Jifanyie Mwenyewe”
zaidi »
Baadhi ya wafadhili wetu
Maoni ya hivi karibuni
Malaysia: Je, Uhuru wa Habari Unaelekea Wapi Sasa?
Simba, vinawezekana ukanitafutia kazi kama nilivyokuambia najifunza utangazaji habari nataka kuwa
mwandishi wa tovuti...
Ndugu DUSABEMUNGU Asante sana kwa hoja zako. Nakubaliana na wewe kwamba 'freedom of
speech' haina maana...
Uhuru wa vyombo vya habari si swala la Malaysia pekee.Nchini Rwanda,watangazaji mara nyingi
hulalamika kuwa...
zaidi »
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 15 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Tanzania: Ulimwengu wa Blogu Wachambua Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2010
Thank you Solana. Much appreciations. We'll keep doing our best.
Go Lingua Swahili! :-)
zaidi »
Brazil: Uchaguzi Safi kwa Mtindo wa "Jifanyie Mwenyewe"
Makala nzuri sana. Inaakisi vizuri yale yanayotokea hivi sasa nchini Tanzania - kampeni za kisiasa...
zaidi »
Waandishi
Kumbukumbu za Mwezi
Kumbukumbu za Mwezi
Msaada Sauti za Dunia
Navigation
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 16 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
11/10/10 9:00 AM
Kuhusu
Wafasiri
Haki Miliki Huru
Tovuti hii ina kibali cha.
Tafuta
Tafuta
Wafadhili
tafsiri ya ukurasa huu
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
Page 17 of 18
Global Voices in Swahili » Brazil: Je, Milango ya Benki Hubaini vyuma au Rangi za Watu?
http://sw.globalvoicesonline.org/2009/11/brazil-je-milango-ya-benki-hubaini-vyuma-au-rangi-za-watu/
11/10/10 9:00 AM
Page 18 of 18
Go to http://www.consiliariuslocalis.com

Documentos relacionados

Magazine Sauti ya pwani 246 Final

Magazine Sauti ya pwani 246 Final mwao ilhali wengine wao hujitosa kwa waganga wa kienyeji ingawa wizara ya afya inafanya kila jitihada kuboresha huduma za matibabu kote nchini. Watu wengi wanaozuru zahanati kwa matibabu wana dhana...

Leia mais

1 Utangulizi Kitabu cha Ayubu kimepewa jina la aliye mhusika mkuu

1 Utangulizi Kitabu cha Ayubu kimepewa jina la aliye mhusika mkuu Mungu si lazima yawe matokeo ya dhambi au mabaya aliyotenda. Watu wana mitazamo tofauti nyakati za majaribu, hasa wengi huona ni mapatilizo kwa ajili ya dhambi. Wakati mwingine Shetani huushambulia...

Leia mais